Miaka 9 baada ya shambulizi la Alshaabab katika chuo kikuu cha Garissa.

  • | KBC Video
    154 views

    Miaka tisa iliyopita, shambulizi lililotekelezwa na wanamgambo wa Al-Shabab katika chuo kikuu cha Garissa, eneo la kaskazini mashariki ya Kenya, lilisababisha vifo vya watu 147 wengi wao wakiwa wanafunzi. Shambulizi hilo lilisababisha chuo hicho kufungwa kwa takriban miezi kumi na minane. Ingawa muda unaonekana kuponya majeraha ya shambulizi hilo, jamii ya Garissa ilipata mafunzo muhimu na imeamua kuendelea kuwa waangalifu huku wakiangazia kufanikisha maono ya waanzilishi wa taasisi yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News