- 977 viewsDuration: 2:43Sekta ya kilimo ndio uti wa uchumi wa taifa na bila shaka huathiri mengi kwa wakenya na haswa wakulima. Iwe upanzi wa mahindi au hata uzalishaji wa kahawa, sekta hizi bado zinasimulia chagamoto licha ya matumaini ya serikali kuwa hali imeendelea kubadilika.