Skip to main content
Skip to main content

Miaka mitatu ya Ruto: Mageuzi yaipa sekta ya sukari mwanga mpya

  • | Citizen TV
    1,039 views
    Duration: 2:50
    Moja wapo wa sekta za kilimo zilizoshuhudia mabadiliko ni ile ya sukari ambapo sasa wakulima wa sukari wanatazamiwa kufaidi kutokana na mfumo tofauti wa malipo. Wakulima hawa sasa wakifanyiwa malipo kuambatana na kiwango cha sukari badala ya kilo. Kwa mujibu wa halmashauri ya kilimo nchini, mfumo huu mpya utasaidia kuimarisha zaidi mapato ya wakulima huku mabadiliko zaidi yakiendelea katika sekta ya sukari.