Miaka miwili ya uongozi wa Rais Ruto

  • | Citizen TV
    3,527 views

    Rais William Ruto anakamilisha miaka miwili tangu kuapishwa kama rais akiwa safarini nchini ujerumani kwa ziara rasmi ya siku mbili. Ruto ametia saini mkataba wa makubaliano wa kutoa nafasi za ajira kwa wakenya nchini humo.