Miaka thelathini baada ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda

  • | BBC Swahili
    667 views
    Miaka thelathini baada ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Victotia anairudia safari iliyojawa na hisia nyingi kwake wakati alipokuwa akitafuta hifadhi salama kutoka mji mkuu Kigali hadi katika mpaka wake na taifa la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Akiwa katika safari hiyo, anazungumza na waathirika wa machafuko hayo na waliotekeleza maovu hayo ili kutaka kujuwa jinsi taifa hilo linavyopona kupitia msamaha. #bbcswahili #rwanda #mauajiyakimbali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw