Michezo Afrika: Unaweza kujitoa kiasi gani kumfaa ndugu yako kuzaliwa?

  • | BBC Swahili
    278 views
    Nancy alishinda shaba katika Olimpiki za Tokyo za wachezaji wanaoishi na ulemavu mwaka uliopita, ikiwa ndiyo medali pekee kwa Kenya katika michezo hiyo. Nancy alipata mafanikio hayo akiwa sako kwa bako na Geoffrey ambaye ni kaka yake. Wawili hao walishinda fedha katika michezo ya Olimpiki ya Rio mwaka wa 2016. Nancy alizaliwa bila uwezo wa kuona – majirani waliokejeli hali yake sasa wanamwona kama hamasisho tosha kwamba yote yawezekana. #bbcswahili #bbcmichezo #michezoafrika