Michezo ya amani Baringo | Jamii hasimu North Rift zaungana kupitia michezo

  • | Citizen TV
    199 views

    Eneo la North Rift kwa miongo kadhaa limekuwa likijulikana kwa matukio ya utovu wa usalama, lakini sasa wakaazi wa kaunti sita wameamua kuungana pamoja kuimarisha amani. Juhudi hizi zikifanywa kupitia michezo kati ya jamii hizi ambazo zimekuwa na uadui wa miaka mingi