Michezo ya kitaifa ya shule za upili yaingia siku ya nne

  • | Citizen TV
    270 views

    Michezo ya kitaifa ya shule za upili inaingia siku ya nne leo huku upinzani mkali ukitarajiwa katika soka,voliboli na raga ambapo michezo hiyo inaingia duru ya nusu fainali. Nusu fainali ya soka ya akina dada tayari imeng'oa nanga katika uwanja wa Bukhungu