Michezo ya Olimpiki ya mwaka 2020 iling’oa nanga rasmi leo

  • | KBC Video
    Michezo ya Olimpiki ya mwaka 2020 iling’oa nanga rasmi leo huku sherehe ya ufunguzi ikiandaliwa kwenye uga wa Olimpiki jijini Tokyo Ujapani bila kuwapo kwa mashabiki. Wanamichezo walilazimika kuingia uwanjani wakiwa wamevalia barakoa. Hata hivyo, idadi ya wajumbe waliokuwa wakiwaburudisha ilikuwa chache uwanjani humo ikilinganishwa na makala ya michezo hiyo yaliyopita.Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya