Michezo ya shule za upili imeingia awamu ya maondoano baada ya awamu ya makundi kukamilika

  • | West TV
    37 views
    Michezo ya kitaifa ya shule za upili muhula wa kwanza imeingia awamu ya maondoano baada ya awamu ya makundi kukamilika Alhamisi hii na kubaini shule zitakazoendelea na na zile zinazoyaaga mashindano hayo