Michuano ya CHAN 2024: Je Sudan itatoboa?

  • | BBC Swahili
    510 views
    Sudan ndiye mwakilishi wa pekee kutoka mashariki mwa Afrika ambaye yupo kwenye nusu fainali ya michuano ya CHAN 2024. Anashuka uwanjani dhidi ya Madagascar katika mechi ya mapema kabla ya mabingwa watetezi Senegal kuvaana na washindi mara mbili Morrocco kwenye mechi ya pili. Je, Sudan itatoboa? Na je, Kenya ina matumaini katika kesi iliyowasilishwa na aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko? @RoncliffeOdit anaangazia hili na mengine mengi katika Dira ya Dunia TV leo saa 3 usiku kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. - - #bbcswahili #chan #kandanda #michezo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw