Mifereji ya majitaka yafunguliwa Kibera

  • | KBC Video
    34 views

    Mvua inayoendelea nchini imekuwa kama baraka kwa wengi lakini si kwa wakazi wa mtaa wa Canaan katika eneo bunge la Kibra kaunti ya Nairobi. Mvua inayoendelea kunyesha imesababisha njia nyingi kutopitika katika mtaa huo kutokana na kufunga kwa mifumo ya kupitisha ya maji taka na hivyo kuchangia changamoto nyingi kwa wakazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive