Mifugo 300 waangamia baada ya kunywa maji eneo la Kone Tana Delta

  • | Citizen TV
    312 views

    Wakaazi wa kijiji cha Kone eneo la Tana Delta wanaishi kwa hofu baada ya kupoteza zaidi ya mifugo 300 kwa muda wa miezi 3.