Mifugo zaidi ya 70% wakufa katika kaunti ya Isiolo, mito ikikauka

  • | Citizen TV
    369 views

    Ukame unaoshuhudiwa kaskazini mwa nchi unaongezeka kila uchao huku viongozi kutoka eneo hilo wakiitaka serikali kutangaza hali hiyo kama janga la kitaifa. Wadi 9 kati ya 10 za kaunti ya Isiolo zimeathiriwa vibaya na ukame kiasi cha kaunti hiyo kutangaza hali ya dharura