Migahawa ya mbwa yashamiri nchini Uingereza.

  • | BBC Swahili
    1,129 views
    Migahawa hii inaruhusu mbwa na hata wamiliki wao kukaa meza moja na kula chakula pamoja. Mwandishi wa BBC amefika katika mojawapo ya migahawa hii kujionea kinachoandaliwa. #bbcswahili #uingereza #mbwa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw