Mighty Eagles kutoka Kitale yaimarisha mazoezi yake

  • | Citizen TV
    246 views

    Timu ya Mighty Eagles inayojumuisha vijana wanaotoka katika mitaa ya mabanda mjini kitale imeimarisha mazoezi yake katika matayarisho ya kushiriki katika kipute cha kimataifa IBER cup jijini Lisbon Ureno mwezi ujao.