Migori FC kuchuana na Wazito katika harakati za kusaka nafasi ya kucheza ligi kuu ya soka

  • | Citizen TV
    371 views

    Timu ya Migori Youth itachuana na Wazito FC kwenye mchujo wa kutafuta nafasi kwenye ligi kuu ya FKF-PL baada ya kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye ligi ya daraja la pili, NSL. Migori ilimaliza ya tatu baada ya wapinzani wao MCF ya Machakos kukosa kufika uwanjani kwa mechi ya mwisho ya msimu.