Miili 6 zaidi yafukuliwa Kwa Binzaro – Idadi yafikia 19

  • | Citizen TV
    368 views

    Miili sita zaidi imefukuliwa katika kijiji cha Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi na kufikisha idadi ya maiti zilizofukuliwa kuwa 19. Aidha, Jumla ya viungo 18 kufikia sasa vimepatikana kwenye zoezi la ufukuzi linaloendelea