Miili 6 zaidi yafukuliwa Kwa Binzaro, idadi yafikia 25!

  • | Citizen TV
    326 views

    Zoezi la kufukua miili katika kijiji cha Kwa Binzaro kaunti ya kilifi limeendelea leo huku miili Sita zaidi ikifukuliwa kutoka kwenye kaburi nne. Zoezi la leo likifikisha idadi ya maiti iliyofukuliwa kufikia 25