Miili miwili ya wapenzi yapatikana chumbani Makueni

  • | KBC Video
    20 views

    Maafisa wa polisi huko Wote, katika kaunti ya Makueni wanatekeleza uchunguzi kuhusiana na kugunduliwa kwa miili miwili iliyokuwa imeoza katika nyumba moja ya kupanga kwenye barabara ya Bagladeshi. Mili hiyo iliyotambuliwa kuwa ya mwanamme na mwanamke ilipatikana baada ya majirani kuripoti harufu mbaya iliyokuwa ikitoka kwenye makazi hayo na hivyo wakawafahamisha maafisa wa polisi. Kwingineko, mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya mseto ya Kiptobit anauguza majeraha mabaya ya kichwa, mkono na mgongo baada ya kudaiwa kushambuliwa na mpenziwe wa kiume.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive