Miili saba zaidi yafukuliwa katika msitu wa Shakahola leo

  • | Citizen TV
    546 views

    Maafisa wa DCI kitengo cha uchunguzi wa mauwaji walikita kambi katika maeneo karibu na boma la Paul Mackenzie. Maafisa hao walilazimika kutembea kwa Muda mrefu ili kuchimba makaburi hayo. Maafisa hao watarejea msituni humo kuendelea kufukua miili siku ya Jumatatu wiki ijayo.