28 Aug 2025 7:27 pm | Citizen TV 914 views Duration: 1:21 Miili saba zaidi imefukuliwa katika kijiji cha Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi hii leo na kufikisha idadi ya maiti zilizofukuliwa kufikia sasa kuwa 32