Miili ya daktari katika hospitali ya Kisii na mpenziwe yapatikana kwenye chumba chao

  • | Citizen TV
    5,757 views

    Maafisa wa polisi wameanzisha uchunguzi kuhusiana na kisa tata cha Daktari aliyefariki na mpenziwe kwenye nyumba yao a kukodi mjini Kisii. Inaaminika kuwa huenda Daktari Vincent Bosire na mpenziwe walifariki siku kadhaa kabla ya miili yao kupatikana kutokana na uvundo uliokuwa ukitoka kwenye nyumba hiyo.