- 4,114 viewsDuration: 2:52Maiti zote tatu za vijana waliozama baharini wakati wa mashindano ya mashua huko Mombasa zimepatikana huku sasa maswali yakiibuka kuhusu namna vijana hao walivyoshirikishwa kwenye mashindano hayo. Kwa mujibu wa wakaazi wa eneo la Jomvu ambako baadhi ya vijana hawa walitoka, wengi wao hawakuwa hata na ufahamu wa kuogelea na walivutiwa tu na zawadi ya mashindano hayo. Haya yanajiri huku kaunti ya Mombasa ikijitenga na kuidhinisha mashindano hayo