Miili ya Wakenya Waliofariki Sharjah Yawasili JKIA

  • | NTV Video
    5,194 views

    Huzuni imetanda JKIA wakati miili ya Benjamin Kioko na Kennedy Kamau, waliopoteza maisha katika moto wa jengo Sharjah, ilipowasili nchini. Familia zikiwa na majonzi, bado zinatafuta majibu kuhusu kilichosababisha mkasa huo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya