- 4,562 viewsJenerali Francis Omondi Ogolla alifariki katika ajali ya helikopta ya jeshi siku ya Alhamisi, muda mfupi baada ya kupaa, kaskazini magharibi mwa Kenya. Ogolla alikuwa ametoka kuwatembelea wanajeshi wanaopambana na uhalifu unaotokana na wizi wa mifugo katika eneo hilo. Rais wa Kenya William Ruto ametangaza siku tatu za kuomboleza kifo cha mkuu huyo na maafisa wengine wa jeshi waliofariki katika ajali hiyo. Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani Jake Sullivan, ametuma salamu za rambi rambi kwa rais Ruto, jeshi la Kenya na Wakenya kwa jumla kufuatia kifo cha Jenerali Ogolla na wanajeshi wengine. Sullivan amesema kwamba Ogolla alikuwa mtu muhimu sana katika uhusiano kati ya Marekani na Kenya katika kuhakikisha usalama wa kila mtu. Taarifa ya White House imesema kwamba Ogolla amesaidia sana katika vita dhidi ya ugaidi hasa kutoka kwa kundi la Al-shabaab la Somalia na kuongoza juhudi za kuimarisha usalama wa kanda nzima, na kuongezea kwamba Marekani imefurahishwa na ushirikiano kutoka kwa Jenerali Ogolla aliyepata mafunzo ya urubani nchini Marekani. Jenerali Ogolla atazikwa Jumapili, April 21, nyumbani kwake, Ng’iya, Kaunti ya Siaya. #jenerali #FrancisOmondiOgolla #kifo #ajali #rais #kenya #williamruto #usalamawataifa #JakeSullivan #rambirambi #marekani #miili #maombolezo
Miili ya waliofariki katika ajali ya ndege yawasili Nairobi
- 13 Nov 2024 - The leader of the world's Anglican communion, Archbishop of Canterbury Justin Welby, announced Tuesday he was resigning following a damning report that concluded the Church of England covered up a serial abuse case.
- 13 Nov 2024 - A deadlock persists over the allocation of revenue between the National Assembly and the Senate, as the Mediation Committee has been unable to reach an agreement.
- 13 Nov 2024 - Acting Social Health Authority (SHA) CEO Elijah Wachira has been sent on 90-day compulsory leave, effective immediately, to allow for investigations into his professional conduct and performance in the role.
- 13 Nov 2024 - Kenya has joined African countries in calling for adopting the continent’s 1.3 trillion USD (Ksh.168.35 trillion) demand to the Global North as part of the climate financing target by 2030.
- 13 Nov 2024 - Detectives have arrested a murder suspect accused of killing a 78-year-old woman who had employed him as a casual worker at her home in Nyathain, Kasarani.
- 13 Nov 2024 - Lawmakers' standoff over county funding persists as talks stall
- 13 Nov 2024 - Judges freeze Ahmednasir ban case before High Court
- 13 Nov 2024 - Why women are at risk of rogue religious groups
- 13 Nov 2024 - Fuliza gang in Sh449m heist to lose property
- 13 Nov 2024 - Gachagua, Buke and our UoN class of 1988