Miili ya Warohingya 11 yapatikana baada ya boti yao kuzama Indonesia

  • | VOA Swahili
    53 views
    Miili ya Warohingya 11 imepatikana Indonesia baada ya boti yao inayodhaniwa kubeba watu zaidi ya 150 kuzama wiki iliyopita maafisa wa uokoaji wa pwani ya Indonesia wamesama Jumatatu. Wengi wa Waislamu Warohingya wameteswa Myanmar na maelfu kila mwaka wanahatarisha maisha kutokana na safari ndefu za gharama kubwa za baharini mara nyingi kwa kutumia boti chakavu wakijribu kufika Malaysia na Indonesia. - AFP Endelea kusikiliza... #miili #warohingya #myanmar #waislam #mateso #vyombochakavu #bahari #pwani #uokoaji #voa #voaswahili