Miili ya watu sita imepatikana imetupwa katika sehemu ya Arabal kaunti ya Baringo

  • | KBC Video
    Miili ya watu sita imepatikana imetupwa katika sehemu ya Arabal kaunti ya Baringo takriban kilomita 100 kutoka mahali kulikotokea shambulizi la majambazi mapema wiki hii . Miili hiyo ambayo haijabainishwa ambayo ina majeraha ya risasi imepelekwa katika hifadhi ya maiti ya hospitali ya matibabu maalum ya Baringo mjini Kabarnet huku polisi wakianzisha uchunguzi kuhusiana na kisa hicho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive