Miili ya watu sita waliokufa maji baada ya boti kupinduka katika ziwa Baringo yapatikana

  • | K24 Video
    59 views

    Miili ya watu sita waliokufa maji baada ya boti kupinduka katika ziwa Baringo hatimaye imepatikana. Sasa idadi ya waliopoteza maisha katika mkasa huo imefika saba. Miili hiyo imepatikana katika ufuo wa kisiwa cha kokwa siku mbili baadaye