Miili ya wavuvi watatu imepatikana katika ziwa

  • | Citizen TV
    121 views

    Maboti sita na nyavu za kuvua samaki zimepatikana ziwa Turkana kufuatia shambulio lililotokea katika eneo la Todonyang ambapo wavuvi ishirini waliripotiwa kuuwawa na wavuvi kutoka nchi jirani ya Ethiopia