Miili zaidi yapatikana katika mitaa ya Mathare na Kariobangi kutokana na mafuriko

  • | K24 Video
    276 views

    Miili mitatu zaidi imepatikana katika vifusi vya nyumba zilizojaa maji eneo la Mathare 4a na kujumuisha idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko katika eneo hilo kuwa 13 . Haya yamejiri huku wakazi katika maeneo hayo na githurai wakiomba usaidizi zaidi wa malazi na chakula .