Miito yatolewa ya uongozi kanisani

  • | KBC Video
    27 views

    Wito wa kukuza uongozi wa kuwatumikia waumini na wananchi katika kanisa na serikali ulitawala wakati wa kutawazwa makasisi Simon Peter Kamomoe na Wallace Ng'ang'a kuwa maaskofu wasaidizi wa dayosisi kuu ya Nairobi ya kanisa katoliki. Kiongozi mkuu Hubertus Matheus Maria van Megen ambaye ni balozi wa kitume nchini Kenya na Sudan Kusini ambaye aliongoza hafla hiyo katika uwanja wa St Mary's Msongari jijini Nairobi alikariri haja ya viongozi wa kanisa kukemea maovu katika jamii na kutoa mwongozo mwema kwa jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive