Mikakati inafanywa kufufua sekta ya maziwa kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    148 views

    Wadau mbalimbali katika sekta ya maziwa kaunti ya Kajiado kwa ushirikiano na bodi ya maziwa nchini wameanza kuweka mikakati ya kufufua biashara ya maziwa baada ya kiangazi kuathiri uzalishaji wa maziwa kwa asilimi 50. Miongoni mwa mikakati hiyo ni kuwapa wafugaji mafunzo ya kubadili mbinu za ufugaji kwa kuwafuga ng’ombe wachache ambao wanaweza kuzalisha kiwango cha juu cha maziwa na kuwapa faida