- 3,637 viewsDuration: 4:37Timu ya taifa Harambee Stars imeandikisha historia kwenye michuano ya CHAN na kuwashangaza wengi baada ya kufuzu kwa robo fainali wakiibuka kidedea katika Kundi A. Kenya, ikishiriki kwa mara ya kwanza kwenye mashindano haya, imekamilisha hatua ya makundi bila kupoteza mechi yoyote.