Mikakati ya kujumuisha masomo ya tabia nchi katika mitaala ya elimu

  • | K24 Video
    31 views

    Kenya sasa inapania kuendeleza utekelezaji wa mikakati inayolenga kudhibiti mabadiliko ya tabia nchi. miongoni mwa mikakati hiyo ni kujumuisha masomo ya tabia nchi katika mitaala ya elimu. Haya yanajiri chini ya saa 48 kabla ya kongamano la Afrika kuhusu mabadiliko ya tabia nchi kung'oa nanga katika jumba la KICC, jijini Nairobi. Tayari masomo hayo yameanzishwa katika baadhi ya shule nchini kupitia mtaala wa CBC.