Mikakati ya kupunguza maambukizi ya ukimwi miongoni mwa vijana

  • | K24 Video
    17 views

    Tangazo hili la dawa ambayo kwa sasa iko katika majaribio ya kliniki, linatokea wakati kenya inakabiliwa na ongezeko la maambukizi ya HIV hasa miongoni mwa vijana, ambao mara nyingi wanatatizika kutumia mara kwa mara aina za sasa za prep.