Mikakati ya kuwainua wakulima wa pamba Siaya

  • | Citizen TV
    57 views

    Wizara ya Uwekezaji kwa ushirikiano na ile ya Vyama vya Ushirika, pamoja na serikali ya kaunti ya Siaya zimeanzisha mikakati ya kufufua kilimo cha pamba ili kuimarisha viwanda na Uchumi wa eneo hilo la Nyanza.