Mikakati ya kuwapiga jeki wanawake yawekwa Kilifi

  • | Citizen TV
    140 views

    Akina mama Wafanyibiashara wakongamana kutoka ukanda wa Pwani katika mji wa Kilifi kwa lengo la kuwahamisha Wafanyibiashara wanawake ukanda huo.