Mikakati yawekwa kutokomeza dhana potovu ya Jaboya Homabay

  • | KBC Video
    39 views

    Kundi la Millers Productions Kenya imeanzisha kampeini ya kijamii katika kaunti ya Homa Bay ya kutoa ufahamu kupitia kwa mipango ya sanaa kama vile michezo ya kuigiza ili kupunguza visa vya Jaboya ambapo wavuvi huitisha ngono ndipo wawauzie samaki wafanya biashara wanawake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive