Mikondo ya michezo ya shule za upili katika ukanda wa Afrika mashariki

  • | K24 Video
    34 views

    Siku moja baada ya kukamilika kwa michezo baina ya shule za upili macho yote sasa yanaelekezwa kwa mikondo ya michezo ya shule za upili katika ukanda wa afrika mashariki. Hata hivyo idadi ya shule zitakazo wakilisha taifa nchini Rwanda itakamilika baada ya michezo ya muhula pili kufanyika.timothy simwa anatupa tathmini ya waliofuzu kutoka kwa mashindano yaliyokamilika uasin gishu wikendi iliyopita.