Mikutano ya Azimio | Viongozi eneo la Nyanza wajitenga na mikutano

  • | KBC Video
    3,328 views

    Tume ya kitaifa ya uiwano na mshikamano wa kitaifa-NCIC imetoa wito kwa kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga kufutilia mbali mikutano yake ya kisiasa. Mwenyekiti wa tume hiyo Samuel Kobia amesema mikutano hiyo inachochea chuki na kuzua hofu humu nchini. Matamshi ya tume hiyo yanajiri huku baadhi ya viongozi kutoka eneo la Nyanza wakimsuta kinara wa Azimio Raila Odinga kwa kuandaa maandamano dhidi ya serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #azimiolaumoja #News #mikutano #Nyanza #NCIC