Mikutano ya BBI katika jumba la KICC

  • | Citizen TV
    Magavana kadhaa kutoka eneo la Kati leo wanafanya kikao cha mapema kujadili mchakato wa BBI kabla ya mkutano wa umma utakaofanyika Meru wikendi inayokuja.