Mila na tamanduni za baadhi ya jamii zasasabisha wasichana kutotimiza ndoto zao

  • | K24 Video
    28 views

    Mila na tamaduni za baadhi ya jamii mara nyingi husababisha wasichana kutotimiza ndoto zao maishani. Jamii ya maa ni miongoni mwa zile ambazo zina idadi ya wanaoendelea kudumisha mila na tamaduni za enzi hizo kama ndoa za mapema na hivyo aghalabu mtoto wa kike hukosa fursa ya kukata kiu ya elimu atakavyo. Hatahivyo waliokumbatia elimu katika kaunti ya Kajiado wamefaulu kutimiza ndoto zao. Mmoja wao ni glain naneu aliyejibidiisha kutimiza ndoto yake ya kuwa rubani.