Mila ya kuwafukuza wanawake wakati wa hedhi Nepal

  • | BBC Swahili
    557 views
    Nchini Nepal, wanawake hulazimika kujitenga katika vibanda nje ya nyumba zao wakati wa hedhi, jambo linalojulikana kama Chhaupadi kwa mila zao. Sangeeta Rokaya ni mmoja wa wengi wanaopinga mila hii na anafanya kazi kubwa kubadilisha jinsi hedhi inavyochukuliwa katika jamii. Aliamua kupanda milima Everest kama njia ya kufikisha ujumbe na kufika hadi kileleni akiwa na ujumbe wa kukomesha mila ya Chhaupadi, na kutoa elimu kuhusu athari zake na hatari. #bbcswahili #nepal #wanawake