Mila za wamaasai ambazo wanawake wa jamii hiyo wanazipinga

  • | BBC Swahili
    Katika jamii ya wamasai suala la mwanaume kuoa wake wengi ni suala la kawaida, mwanaume mmoja anaweka kuwa na wake hadi kumi. Lakini wanawake wa kimasai wanachukulia vipi utamuduni huu? #bbcwahili #tanzania #tamaduni