Milipuko ya kipindupindu ulimwengu

  • | BBC Swahili
    443 views
    Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa zaidi ya watu bilioni 1.1 wameathiriwa na ongezeko kubwa la milipuko ya kipindupindu kote ulimwenguni. Hadi sasa barani Afrika, nchi 24 zimeripoti milipuko ya kipindupindu, ikilinganishwa na 15 katikati ya Mei mwaka jana. #bbcswahili #kipindupindu #afya