Mimba za utotoni, ndoa za mapema na ukeketaji zakithiri katika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    161 views

    Wazazi wengi wametwikwa mzigo wa kulea wajukuu ili kuwapa nafasi wazazi wao wachanga kuendelea na masomo. Idadi ya wasichana waliopachikwa mimba katika kaunti ya Kajiado imerekodiwa kuwa juu, jambo ambalo limeibua wasiwasi kwa washika dau na maafisa wa serikali.