"Mimi ni msanii wa kwanza kupewa tuzo na Rais"

  • | BBC Swahili
    665 views
    Natacha Ngendabanka ni mmoja wa wasanii maarufu nchini Burundi. Mbali na kuwa mwanamuziki, Natacha pia ni mfanyabiashara maarufu na balozi wa UNFPA ambaye anahusika na masuala ya kuhamasisha vijana kuhusu uzazi wa mpango. Mwandishi wa BBC Robert Kiptoo alimtembelea Natacha ambaye ametoa wimbo mpya hivi karibuni na kuandaa taarifa hii. 🎥 @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #burundi #muziki