"Mimi ni mswahili mwenye kukipenda kiswahili" - Muhogo Mchungu

  • | BBC Swahili
    1,471 views
    Abdala Mkumbila maarufu kama Muhogo mchungu ni muigizaji mkongwe wa michezo ya kuigiza nchini Tanzania. Licha ya kuwa katika tasnia hii kwa zaidi ya miaka 30, Jina la Muhogo Mchungu limeendelea kuwa maarufu miongoni mwa mashabiki huku uigizaji wake ukizidi kuvutia hadi kizazi cha sasa. Je nini siri ya kuweza kumudu kwa muda mrefu katika tasnia hiyo ya maigizo? Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda, amezungumza na Muhogo Mchungu na kuandaa taarifa hii. 🎥: eagansalla_gifted_sounds_ #bbcswahili #tanzania #sanaa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw