Mipango ya uchaguzi wa ODM umekamilika kaunti ya Vihiga

  • | Citizen TV
    252 views

    Seneta wa kaunti ya Vihiga Godfrery Osotsi amesema chama cha ODM kimeweka mikakati ya kutosha ya uchaguzi wa chama hicho utakaofanyika tarehe 30 mwezi huu. Akizungumza baada ya mkutano wa wafuasi wa chama hicho katika kaunti hiyo, Osotsi amesema chama hicho kimesajili wanachama wapya 15,000. Aidha wanawake wameraiwa kuwania nyadhifa za uongozi.